NABII wa Kanisa la Bethel Ministry, Daniel Shillah amefunguka mazito ambayo yanaonyesha viashiria vya watu ambao wanamtafuta na kutaka kumteka.
Ingawa amedai kuwa siku ambayo alitakiwa kutekwa alihairisha safari na mkasa huoumemkuta dereva wake.
Prophet Shillaha amesema amepelea taarifa hizo katika jeshi la polisi nakuacha wafuatilie japokuwa kuna vitu ambavyo Mungu amemuonesha.
No comments:
Post a Comment