Mwanamuzi mkongwe wa Injili Rose Muhando ambaye alikuwa anafanya vizuri
katika kumsifu mungu kupitia uimbaji ameonekana kuwaumiza wengi baada ya
video kusambaa akionekana akiwa amepandisha mapepo na kuombewa na
mchungaji.
Rose Muhando ambaye aliitwa mbele ya mchungaji kwa ajili ya kuombewa alionekana kuvunjika mkono mmoja ambao ulivalishwa ogo na mkono mwingine ukiwa unaarama kama za kuungua.
Wakati wa maombi alionekana akiongea kama ni mtu aliyefirisika Kutokana na kuuza mali zake pamoja na kuikimbia nyumba yake na kuishi pasipojulikana na pia watoto wake wameshindwa kwenda shule kutokana na kukosa ada ya kulipia.

No comments:
Post a Comment