Na,Jusline Marco
Shirika
lisilo la kiserikali ya kuhudumia vijana la YSSM lililopo Mkoani Arusha
limeandaa mpango mkakati wa kumkomboa kuwakomboa vijana walio mshuleni
na vyuoni kiuchimi na kifikra ili kuwawezesha kufikia ndoto zao kwa
kuanzisha clubs mbalimbali katika shule na vyuo.
Mkurugenzi
mtendaji wa shirika hilo Bw.Elihuruma Maluma amesema kuwa katika
kuhakikisha jamii inakuwa na kizazi chenye ueledi katika kujishughulisha
na shughuli mbalimbali za kijamii upo mpango mkakati wa kuwasaidia
vijana kipitia mradi mpya wa Ibuka.
Aidha ameeleza kuwa tangu kuanzishwa kwa Shirika hilo mnamo mwaka 2014 bado QA
na changamoto mbalimbali ikiwemo ya kifeda inayowafanya kutowafikia
vijana wengi zaidi hususani walio vijijini,k utokuwa na uwezo wa kuongea
na vijana wa dini zote.
Vilevile
ameeleza kuwa shirika hilo lilianzishwa kwa lengo la kuhamasisha na
kuwapa motisha vijana jinsi wanavyoweza kutumia kile ambacho mungu
awekiweka ndani yao.
No comments:
Post a Comment