Arusha
Na Jusline Marck
Wakristo wameaswa
kuondokana na mawazo mabaya ya kujiona wao ni maskini bali wajione wanaweza
sambamba na kusimama katika zamu yao kuwaombea watumishi wao.
Haya yameelezwa na Nabii
Godfrey Saulo kutoka katika kanisa la Voice of Miracle lililopo Jijini Arusha
ambapo amewataka wakristo kujenga mazoea ya kuwaombea watumishi wao kusudi nao
waweze kuwaombea.
Aidha kwa habari ya maombi
ya vita Nabii Saulo amesema kuwa mtu anapofanya maombi ya vita anapambana na
nguvu za giza na kuziharibu madhabahu za shetani ambazo zimekuwa zikikamata
ufahamu wa watu.
No comments:
Post a Comment