Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.Susan Kolimba amesema taasisi za kidini ni washirika wakuu wa serikali kwa kufanya mikakati mbalimbali ya kuleta maendeleo ya nchi pamoja na kutatua changamoto kwa kutoa huduma zajamii ikiwemo sekta ya afya na elimu.
Amesema hayo wakati akimuwakilisha Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson katika harambee ya ujenzi wa miradi mbalimbali pamoja na kanisa na kusema taasisi hizo ni washirika wakuu wa serikali kwani wao hutunza maadili, amani na upendo.
Wakati huo huo katika kukabiliana na changamoto za kimaendeleo jamii imetakiwa kujikita zaidi katika kutafuta mbinu za kukabiliana na changamoto za kimaendeleo kwa kujenga utamaduni wa kisayansi kwa vijana wa Kitanzania.
Taasisi za dini ni washirika wa Serikali katika kuleta maendeleo

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment