Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba amewataka viongozi wa dini na wadau kuhamasisha waumini kutunza mazingira.
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza katika mkutano na wadau mbalimbali wa mazingira, ambapo amesema kuwa wajibu wa kila mtu ni kutunza mazingira.
“Hii ni elimu kwa umma, ni kuwahamasisha tu, akikiewa kitu huna haja ya kumlazimisha kuelewa jambo, kuna baadhi ya maeneo watu wenyewe wanajipanga kulinda mazingira yao,”amesema Makamba
No comments:
Post a Comment