Maadhimisho
hayo huambatana na jumbe mbalimbali kutoka kwa viongozi wa dini ya
kikristo ambapo Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis
anatarajiwa kuongoza maelfu ya waumini katika misa takatifu ambapo
atatoa ujumbe kwa mji wa Roma na kwa Ulimwengu katika kanisa la
mtakatifu Peter nchini Italia.
Akihubiri katika misa ya ijumaa kuu
kiongozi huyo alisema anasikitishwa na namna kizazi kijacho
kitakavyorithi dunia iliyojaa migawanyiko na vita.
Kiongozi huyo amekemea namna ulimwengu ulivyowatenga makundi ya watoto wazee wagonjwa na wahitaji.
Usalama umeimarishwa katika maeneo mbalimbali duniani kuelekea maadhimisho ya sikukuu ya pasaka ambayo hufanywa na wakristo duniani kote wakikumbuka kufa na kufufuka Yesu Kristo miaka mingi iliyopita.
Usalama waimarishwa Wakristo wakisheherekea pasaka duniani
Usalama umeimarishwa katika maeneo mbalimbali duniani kuelekea maadhimisho ya sikukuu ya pasaka ambayo hufanywa na wakristo duniani kote wakikumbuka kufa na kufufuka Yesu Kristo miaka mingi iliyopita.
Maadhimisho
hayo huambatana na jumbe mbalimbali kutoka kwa viongozi wa dini ya
kikristo ambapo Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis
anatarajiwa kuongoza maelfu ya waumini katika misa takatifu ambapo
atatoa ujumbe kwa mji wa Roma na kwa Ulimwengu katika kanisa la
mtakatifu Peter nchini Italia.
Akihubiri katika misa ya ijumaa kuu kiongozi huyo alisema anasikitishwa na namna kizazi kijacho kitakavyorithi dunia iliyojaa migawanyiko na vita.
Kiongozi huyo amekemea namna ulimwengu ulivyowatenga makundi ya watoto wazee wagonjwa na wahitaji.
Akihubiri katika misa ya ijumaa kuu kiongozi huyo alisema anasikitishwa na namna kizazi kijacho kitakavyorithi dunia iliyojaa migawanyiko na vita.
Kiongozi huyo amekemea namna ulimwengu ulivyowatenga makundi ya watoto wazee wagonjwa na wahitaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment