Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron wamependekeza makubaliano mapya kuhusu mkataba wa kusitisha Iran kuendelea na mradi wake wa Nyuklia.

Baada ya mazungumzo kati ya viongozi hao wawili jijini Washington DC, rais Macron amesema ni muhimu kuwepo kwa mkatana mpya ambao utaizuia Iran kutengeza silaha za kemikali na kuthamini ushawishji wake Mashariki ya Kati.

Rais Trump tayari ameonya kuwa hatakubali kuendelea kwa mkataba huo unastahili kuidhinishwa tena tarhe 12 mwezi ujao na Mataifa ya Magharibi, kwa kile anachokisema ni mkataba mbaya.

Mwaka 2015, Iran ilikubali kuacha kuendelea na mradi wake kwa kipindi cha miaka 10, hatua ambayo ilisababisha mataifa ya Magharibi kusitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Tehran.

Rais Trump na rais Macron wapendekeza makubaliano mapya kuhusu mkataba wa iran

Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron wamependekeza makubaliano mapya kuhusu mkataba wa kusitisha Iran kuendelea na mradi wake wa Nyuklia.

Baada ya mazungumzo kati ya viongozi hao wawili jijini Washington DC, rais Macron amesema ni muhimu kuwepo kwa mkatana mpya ambao utaizuia Iran kutengeza silaha za kemikali na kuthamini ushawishji wake Mashariki ya Kati.

Rais Trump tayari ameonya kuwa hatakubali kuendelea kwa mkataba huo unastahili kuidhinishwa tena tarhe 12 mwezi ujao na Mataifa ya Magharibi, kwa kile anachokisema ni mkataba mbaya.

Mwaka 2015, Iran ilikubali kuacha kuendelea na mradi wake kwa kipindi cha miaka 10, hatua ambayo ilisababisha mataifa ya Magharibi kusitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Tehran.

No comments:

Post a Comment