Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January
Makamba alikutana na baadhi ya wanafunzi wa vyuo mkoani Dodoma ili
kuwapa elimu kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibari ikiwa zimesalia
siku kadhaa kufikia April 26 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya muungano
huo.
Waziri Makamba alitumia nafasi hiyo pia kuwaeleza Wanafunzi hao kutoshiriki kwa namna yoyote kuuvunja muungano.
Makamba amesema“Serikali zetu zimeweka utaratibu wa kuzungumzia mambo ya muungano, nyie kama vijana na viongozi wa baadae mnapaswa msiingie kwenye wimbi la kuzichukulia baadhi ya changamoto na kero zilizopo sasa kaam sehemu ya kuuvunja muungano wetu”

No comments:
Post a Comment