Dodoma
Maaskofu Nchini Wameaswa Kurudi Katika Makanisa Yao Kuangalia Na Kutatua Migogoro Pamoja Na Matatizo Waliyonayo Ikiwa Ni Pamoja Na Kuwahimiza Waumini Kuabudi Katika Roho Na Kweli Na Kuiombea Nchi.

Hayo Yamesemwa  Leo Na Askofu Mkuu Wa Kanisa La Pentekoste Agizo Kuu Ambaye Pia Ni  Mwenyekiti Wa Umoja Wa Madhehebu Ya Kikristo Dodoma Askofu Dr. Damac Mkasa Wakati Akizungumza Na Waandishi Wa Habari Mjini Hapa Kufuatia Nyaraka Zinazoendelea Kutolewa Na Maaskofu.

Dr. Mkasa Amewaomba Maaskofu Kuacha Chokochoko Dhidi Ya Serikali  Badala Yake Waunge Mkono Uchumi Wa Viwanda, Kuhimiza Waumini Kuchangia Maendeleo Ya Nchi Hivyo Wamwache Raisi Afanye Kazi Yake.

“Maaskofu turudi makanisani mwetu kwani kuna migogogro mingi na inahitaji kutatuliwa mwacheni rais afanye kazi yake na tumuunge mkono katika maendeleo hayo na sio kuwa watu wa kuleta malumbano, tujue yakitokea machafuko maaskofu tuna hatia katika hilo” amesema askofu Damas.

Aidha Dr. Mkasa Amewaomba Watanzaia Kupuuzia Taarifa Zinazoendelea Katika Mitandao Ya Kijamii Kuhusiana Na Maandamano Sababu Hayana Tija Kwani Kwa Kufanya Hivyo Kutatowesha Amani Ya Nchi. 

Hata Hivyo  Askofu Mkasa Ameliomba Jeshi La Polisi Na Vyombo Vingine Vya Dola Kuwa Imara Kuhakikisha Jambo Hilo Halitokei.

MAASKOFU MWACHENI RAIS AFANYE KAZI

No comments:

Post a Comment