Image result for israel news

Idara ya usalama ya Israel imetoa taarifa ikisema kuwa Israel jana iliwakamata wapalestina 17 waliotuhumiwa kupanga kufanya mashambulizi ya kigaidi kwa niaba ya kundi la Hamas.

Idara hiyo imesema kutokana na uchunguzi, Abdallah Arar ambaye ni mtumishi wa kundi la Hamas amewekwa kizuizini.

Idara ya usalama ya Israel imemtambua Arar kuwa mfungwa wa zamani aliyehusishwa kumteka nyara raia mmoja wa Israel mwaka 2005.

Aliachiliwa huru kutokana na mpango wa Shalit wa kubadilishana wafungwa mwaka 2011 na kufukuzwa kwenye ukanda wa Gaza.

Anashutumiwa kumuelekeza Ala Salim, mwenyeji wa kijiji cha Jaba, kuanzisha kikundi cha kigaidi na kununua bunduki aina ya M-16 ili kufanya shambulizi.

Israel yawakamata wapalestina 17 kwa kupanga mashambulizi ya kigaidi

No comments:

Post a Comment