ZAIDI yawahamiaji 50
raia kutoka nchini Ethiopia wameka matwa eneo la Duga wilayani Mkinga mkoani
Tanga kwa kosa la kiungia nchini kinyume chasheria.
Wahamiajihao wamekamatwa ndani ya kipindi cha mwezi Desemba
mwaka huu kutokanana operesheni ambazozimekuwa zikiendeshwa na Idara ya
Uhamiaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisiya kuhakikisha wanazibiti wimbi la
uingiaji huo.
Hayoyalisemwa jana na Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa Tanga DCI,
Crispian Ngonyani wakatiakizungumza ofisi kwake ambapo alisema wahamiaji hao
hivi sasawanaendelea na kesi zao zinazowakabili kutokana na kuingia nchinikinyume
na utaratibu uliopo.
Amesemahatuaya kukamatwa kwa wahamiaji haramu hao inatokana
na kuwepo kwa misako yakushtukiza katika maeneo mbalimbali hasa ya mipakani
mkoani hapa ambapowahamiaji hao wamekuwa wakitumia kama njia yakuingilia.
No comments:
Post a Comment