Tanzania inaongeza maradufu idadi ya panya buku wanaotumika kuutambua ugonjwa wa kifua kikuua.
Panya hao hupewa mafunzo na wana uwezo wa kunusa kamasi za binaadamu na kutambua kwa haraka ugonjwa wa TB.Wana uwezo wa kutambua sampuli mia moja kwa muda usiozidi dakika 20.
Tofuati na binaadamu - wataalamu wa maabara wanaotumia siku nne kuchunguza idadi hiyo ya sampuli.
Tanzania sasa itawatumia panya hao katika kliniki zipatazo 60 kote nchini.
No comments:
Post a Comment