Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Kumbusho Dawson Kagine amekamatwa na Polisi leo mchana kwa kosa la kusambaza picha hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, zinazoonesha majengo hayo kuwa na nyufa. Kwa sasa yupo chini ya ulinzi kituo cha polisi Udsm, tayari kupelekwa kituo kikuu cha polisi.

MWANAFUNZI ALIYEPIGA PICHA HOSTEL ZENYE NYUFA UDSM AKAMATWA

 Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Kumbusho Dawson Kagine amekamatwa na Polisi leo mchana kwa kosa la kusambaza picha hostel mpya za chuo kikuu cha Dar es Salaam, zinazoonesha majengo hayo kuwa na nyufa. Kwa sasa yupo chini ya ulinzi kituo cha polisi Udsm, tayari kupelekwa kituo kikuu cha polisi.

No comments:

Post a Comment