Wakaristo wametakiwa kujua namna ya kumtolea Mungu Sadaka iliyo hai kwa kutoa kwa Moyo usio na Manung’uniko.
Hayo yamesemwa na mtumishinwa Mungu Zephania Ngungat wakati akifundisha juu ya sadaka katika kanisa la Baptist Olmotonyi mkoani Arusha .
Amesemakuwa nibora kuacha kumtolea Mungu sadaka kuliko kutoa ukiwa unanung’unika jambo ambalo halimpendezi Mungu.
Amesema kuwa nivema mkristo kuchukuwa muda wa kujihoji mwyewe kabla ya kutoa sadaka kuliko kutoa sadaka yenye Manung’uniko.
Hata Hivyo meongeza kuwa sadaka yenye Manung’uniko Mungu hapokei hivyo ni vyema wakristo wawe makini katika kutolea Mungu sadaka
No comments:
Post a Comment