Wakristo wametakiwa kuwa Chombo kipya katika Bwana ili Mungu  aweze Kukuza  na Kuimarifasha Ufalme  wake Duniani.

Akizungumza katika Ibada ya Jumapili  katika kanisa la Fpct Ngongongare  Mkoani Arusha Mchungaji Kiongozi wa kanisa hilo  Hosea Mbise amesema kuwa  mkristo wa Leo anatakiwa kumruhusu Mungu amfanye Chombo Kipya.

Amesema Mkristo kufanyika Chombo Kipya ni kujisafisha na kujitakasa  ili Mungu amtengeneza upya na aweze kumtumia katika Kazi yake.

Aidha amebainisha kuwa Mungu hatazamii Chombo Kingine Zaidi ya Kumtumia Binadamu ili kufikisha ujumbe na Taaarifa mbalimbali za Kimungu.

Ameongeza kuwa Mungu hawezi kuwekeza Kipawa au huduma Yoyote  kama Chombo chake kitakuwa kichafu anataka kuwekeza kwa Mtu ambaye amejitakasa.

Baadhi ya Wakristo  walio Hudhuria katika Ibada hiyo wamesema kuwa chombo kipya katika Maisha ya wokovu ni mchakato endelevu kwa Mkristo Yoyote Yule.

Kanisa la FPCT Ngongongare  lipo Magharibi mwa Mkoa wa Arusha  lina Zaidi ya washirika 500 huku likiwa kanisa Mama Mkoani Arusha ambalo limekuwa likiongozwa na Mchungaji Kiongozi  Hosea Mbise.

  CHANZO CHA HABARI

Jina : Mchungaji Hosea MbISE

Kanisa : FPCT Ngongongare
Mahali : Ngongongare, Arusha
Contact : +255754890397

MCHUNGAJI HOSEA MBISE : KUFANYIKA CHOMBO KIPYA NI MCHAKATO WA KILA SIKU

No comments:

Post a Comment