Na Method Charles

Imeelezwa kuwa hakuna hukumu kwa watu ambao wameokoka na badala yake kuna hukumu kwa maadui ambao wamekuwa kinyume na Mungu.

Hayo yamesemwa na Prophet Jackson Ibrahimu wa kanisa la Nguvu ya Utimilifu lillopo Tanzanite kwa Morombo Mkoani Arusha wakati wa Ibada ya Jumapili.

Prophet Jackson amesema hakuna hukumu ya aliye Okoka na alinukuu kitabu cha Warumi sura ya nane Mstari wa kwanza ambapo unasema hakuna adhabu kwa walio ndani Kristo Yesu. 

Aidha ametaja aina ya adhabu  ambazo wakristo wengi wamekuwa wakikumbana nazo na kwa  Mungu anaweza kushughulika nazo kuwa ni pamoja na adhabu ya Ugonjwa, Adhabu ya Umasikini, adhabu ya kuwa na familia isiyo endelea na adhabu ya kusomesha watoto lakini hawafaulu.

Amewataka  Baadhi ya watu ambao wamekuwa wakifanya kazi kwa Bidii bila Mafanikio kuhakikisha kuwa wanamtafuta Mungu kwa Maombi na kutubu ili Mungu aweze kutawala Maisha yao.

Pia amesema tatizo ambalo limekuwa likikwamisha watu kufanikiwa ni kuwa baadhi ya Watu wamekubaliana na Adhabu  ambazo wanazipitia huku wakishindwa kubaini kuwa ni Adhabu na kuendelea kuzifanya badala ya Kumtafuta Mungu.

Nao Baadhi ya Washirika wa Kanisa hilo la Nguvu ya Utimilifu wamesema kuwa Magonjwa na  Maisha ya Shida ambayo Muda Mwingine wanapitia ni vile ambayo Maadui wamefanya kazi zao  hivyo watajikita katika kujitakasa  na Kuepuka kutenda dhambi ili kuepukana na adhabu hizo.

Chanzo cha Habari

Kanisa la Nguvu ya Utimilifu

Mahali : Tanzanite Morombo Arusha

Contact : +255763642202

PROPHET JACKSON : HAKUNA HUKUMU KWA WATU WALIO OKOKA WARUMI 8:1

No comments:

Post a Comment