Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya Covid-19 itakayofanyika jumamosi Agosti 29, 2020, huku akisema wazo lakufanya hivyo amelipata kutoka kwa raia wa Uganda ambaye alikuwa na 'Maono kutoka kwa Mungu'.
Licha ya siku hiyo kuwa ya Maombi kitaifa lakini ameifanya iwe siku ya mapumziko kwa umma, 'Kaeni majumbani mwenu au kwenye viwanja vya nyumba zenu na muombe"-Museveni.
No comments:
Post a Comment