Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho, Yanga wamepangwa na timu ya Ethiopia.
Katika droo iliyofanyika leo jijini Cairo, Misri, Yanga imepangwa kucheza na Wolaitta Dicha ya nchini Ethiopia.

No comments:
Post a Comment