Uongozi wa Umoja wa Afrika umesema umesikitishwa sana na kushtushwa na matamashi ya Trump.
Kiongozi
huyo wa Marekani alinukuliwa akiuliza ni kwanini wahamiaji kutoka
mataifa ya Afrika aliyoyafananisha kama shimo la kutupa taka,
wanaendelea kuja Marekani.
Ofisi ya Mwenyekiti wa Tume ya Afrika
inayoongozwa na Moussa Faki Mahamat, imesema matamshi ya Trump
yanawadharau watu wa Afrika pamoja na utu.
Aidha, Umoja huo unataka kuwepo kwa mazungumzo ya haraka na ya wazi kati ya Marekani na mataifa ya Afrika.
Taifa la Haiti pia limeguswa katika matamshi hayo ya rais Trump na kuyashtumu.
Botswana imemwita balozi wa Marekani nchini humo kufafanua matamshi hayo ya Trump.
Naye rais wa Senegal Macky Sall, amesema kauli ya Trump haikubaliki kamwe na kusisitiza kuwa Wafrikia wana haki ya kuheshimiwa.
Aidha, amemwagiza Balozi wa Marekani kueleza ni kwanini rais Trump alitoa matamshi hayo.
Tume ya Umoja wa Mataifa nayoshughulikia haki za binadamu pia imelaani matamshi ya Trump na kuyaita ya kibaguzi na ya aibu.
Hata
hivyo, Trump kupitia ukurasa wake wa Twitter amekanusha kutoa matamshi
hayo wiki hii alipokutana na wabunge, kujadili suala la wahamiaji.
Umoja wa Afrika unamtaka rais wa Marekani Donald
Trump kuomba radhi baada ya kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya mataifa
ya Afrika.
Umoja wa Afrika wamtaka rais Trump kuomba radhi kwa kuwadharau Waafrika
Umoja wa Afrika unamtaka rais wa Marekani Donald
Trump kuomba radhi baada ya kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya mataifa
ya Afrika.
Uongozi wa Umoja wa Afrika umesema umesikitishwa sana na kushtushwa na matamashi ya Trump.
Kiongozi huyo wa Marekani alinukuliwa akiuliza ni kwanini wahamiaji kutoka mataifa ya Afrika aliyoyafananisha kama shimo la kutupa taka, wanaendelea kuja Marekani.
Ofisi ya Mwenyekiti wa Tume ya Afrika inayoongozwa na Moussa Faki Mahamat, imesema matamshi ya Trump yanawadharau watu wa Afrika pamoja na utu.
Aidha, Umoja huo unataka kuwepo kwa mazungumzo ya haraka na ya wazi kati ya Marekani na mataifa ya Afrika.
Taifa la Haiti pia limeguswa katika matamshi hayo ya rais Trump na kuyashtumu.
Botswana imemwita balozi wa Marekani nchini humo kufafanua matamshi hayo ya Trump.
Naye rais wa Senegal Macky Sall, amesema kauli ya Trump haikubaliki kamwe na kusisitiza kuwa Wafrikia wana haki ya kuheshimiwa.
Aidha, amemwagiza Balozi wa Marekani kueleza ni kwanini rais Trump alitoa matamshi hayo.
Tume ya Umoja wa Mataifa nayoshughulikia haki za binadamu pia imelaani matamshi ya Trump na kuyaita ya kibaguzi na ya aibu.
Hata hivyo, Trump kupitia ukurasa wake wa Twitter amekanusha kutoa matamshi hayo wiki hii alipokutana na wabunge, kujadili suala la wahamiaji.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment