Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
ametangaza watu anaopendekeza waidhinishwe kuwa mawaziri katika serikali
yake mpya baada yake kushinda uchaguzi mwaka jana.
Bw Dan Kazungu, ambaye amekuwa waziri wa madini, amependekezwa kuwa balozi mpya wa Kenya nchini Tanzania.
Aliyekuwa balozi wa Kenya nchini humo Chirau Ali Mwakwere alijiuzulu mwaka jana ili kuwania kiti cha ugavana katika uchaguzi uliofanyika tarehe 8 Agosti.
Alishindwa kwenye uchaguzi huo.
No comments:
Post a Comment