Kilimanjaro
Kitongoji cha Dipu kilichopo katika kijiji cha kwa Sadala kata ya masama kusini wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kinakabiliwa na ukosefu wa maji safi na salama hali inayowalazimu wanakijiji kutafuta huduma hiyo ya maji.

Akizungumza mmoja wa mwanakijiji wa kitongoji hcho cha dipu kijiji cha Kwa sadala kata ya masama Joseph mlay anaeleza adha ya maji wanayopata.
Kufuatia changamoto hiyo mwenyekiti wa kijiji hicho Edmen Massawe ambaye pia ni mjumbe kwenye kamati ya maji kijijini hapo anatolea ufafanuzi suala hilo la maji.
Sambamba na hilo mwenyekiti wa kijiji hicho cha kwa sadala kimewataka wananchi wake kuhakikisha wanaongeza nguvu zaidi ya kushiriki katika ujenzi wa shule ya msingi msamadi pamoja na zahanati ya kijiji.
Mkutano huo wa kijiji umefanyika katika ofisi ya kijiji hicho ch Kwa sadala ambapo umehudhuriwa na wanakijiji hao lengo ikiwa ni kujadili,kutatua na kupanga mikakaktati ya kimaendeleo katika kipindi cha mwaka ujao wa 2018.
No comments:
Post a Comment