Baraza la maasikofu Tanzania TEC limesema misa ya chrismas
kitaifa itaadhimishwa katika jimbo katoliki
Zanzibar katika kanisa la
Mtakatifu Joseph minara miwili.
Taarifa iliyo tolewa na Mkuu wa idara ya mawasiliano jamii ya baraza hilo Bernad James imesema
kuwa misa hiyo itaongozwa na askofu wa Jimbo hilo Mahashamu Augostino Shao
No comments:
Post a Comment