Arusha
Wakristo Wametakiwa kuacha tabia ya kujizuaia wenyewe kwa kukiri kushindwa na badala yake kukiri ushindi kwani Yesu Alishinda.
Hayo yamesemwa na Askofu Bishop Dkt John Ndungu wa Kanisa la Word and Deed Church of God lilopo Njiro Posta Mkoani Arusha nchini Tanzania.
Dkt .John amesema umasikini ambao unaweza mkumba mtu sababu ni kukiri kushindwa badala ya kukiri ushindi sawa sawa na Mathayo 17:20.
Aidha Amewataka Kubadili aina ya kukiri na kuamini kuwa kila Kitu kinawezekana kupitia Bwana atutiaye Nguvu na Kutuongoza Kila Siku.
Pia amesema kuwa Mungu alimtumtuma mwanae wa Pekee ili kutoa vyote ambavyo vimekuwa kikazwa katika Maisha ya Mwanadamu ikiwemo Laana pamoja na Umasikini.
Hata hivyo Dkt. John amesema Mkristo anaheshimika Mbinguni na Duniani kwani Yesu amesha tuheshimisha.
CHANZO CHA HABARI
Kanisa : Word and Deed Church of God
Mchungaji : Bishop Dkt. John Ndungu
Contact : +255746128569
+255686490890
No comments:
Post a Comment