Ripoti
zinasema kwa muda wa siku mbili zilizopita, mvua hiyo ilisababisha
mafuriko makubwa jijini Nairobi na maeneo mengine ya nchi hiyo.
Wakenya
wamekuwa wakihesabu hasara na kuomboleza vifo vya watu hao waliosombwa
na maji katika Kaunti za Nairobi, Pwani, Mashariki na Kaskazini
Mashariki.
Miili ya watu wanne, imepatikana katika mto Athi pembezoni mwa barabara kuu kutoka jiji kuu Nairobi kwenda Kangundo.
Mafuriko
makubwa yaliyotokea baada ya mvua ya siku ya Alhamisi, yamesababisha
kuharibiwa kwa miundo mbinu kama barabara na madaraja.
Katika
Kaunti ya Taita Taveta, watoto wawili walio na miaka mitano na minane ni
miongoni mwa watu walipoteza maisha baada ya kuzama majini.
Mamlaka
ya utabiri wa hali ya hewa nchini humo, imeendelea kutoa tahadhari ya
kutokea kwa mvua na mafuriko zaidi katika maeneo mengi ya nchi hiyo.
Wito
umetolewa kwa maeneo ambayo yataendelea kupokea mvua, kuhamia katika
maeneo yaliyoinuka na kuacha kutembea kwenye maji yaliyosimama.
Watu 15 wamepoteza maisha nchini Kenya kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 15 nchini Kenya
Watu 15 wamepoteza maisha nchini Kenya kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Ripoti
zinasema kwa muda wa siku mbili zilizopita, mvua hiyo ilisababisha
mafuriko makubwa jijini Nairobi na maeneo mengine ya nchi hiyo.
Wakenya wamekuwa wakihesabu hasara na kuomboleza vifo vya watu hao waliosombwa na maji katika Kaunti za Nairobi, Pwani, Mashariki na Kaskazini Mashariki.
Miili ya watu wanne, imepatikana katika mto Athi pembezoni mwa barabara kuu kutoka jiji kuu Nairobi kwenda Kangundo.
Mafuriko makubwa yaliyotokea baada ya mvua ya siku ya Alhamisi, yamesababisha kuharibiwa kwa miundo mbinu kama barabara na madaraja.
Katika Kaunti ya Taita Taveta, watoto wawili walio na miaka mitano na minane ni miongoni mwa watu walipoteza maisha baada ya kuzama majini.
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa nchini humo, imeendelea kutoa tahadhari ya kutokea kwa mvua na mafuriko zaidi katika maeneo mengi ya nchi hiyo.
Wito umetolewa kwa maeneo ambayo yataendelea kupokea mvua, kuhamia katika maeneo yaliyoinuka na kuacha kutembea kwenye maji yaliyosimama.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment